LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 28, 2023

RAIS WA IPU DKT TULIA AWASILi KUZIPATANISHA ISRAEL, PALESTINA





 Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  tarehe 27 Novemba, 2023 amewasili Mashariki ya Kati kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kujadili jinsi jumuiya ya kimataifa kupitia IPU inaweza kuunga mkono juhudi za kupata suluhu ya mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.


Katika ziara hiyo ya kidiplomasia, Dkt Tulia anatarajia kukutana na Viongozi wa pande zote mbili kwa lengo la kutafuta amani katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages