LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 17, 2023

RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA ROMANIA KLAUS lOHANNIS, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mgeni wake, Rais wa Romania Mhe.  Klaus Lohannis, mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Novemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika mapokezi Rasmi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, 17 Nov 2023.
Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Novemba 2023 katika mapokezi rasmi ya Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis.
Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis, akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Novemba 2023.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis, kwa viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Novemba 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis, wakati mgeni huyo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages