LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 17, 2023

KAMATI YA SIASA MKOA DAR ES SALAAM ILIPOHITIMISHA ZIARA YA UKAGUZI UTEKELEZAJI WA ILANI WILAYA YA ILALA

13/11/2023

Ilala

Kamati Ya siasa Mkoa wa Dar es salaam chini ya mwenyekiti Abbasi Mtemvu yahitimisha ziara yake ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani katika miradi ya kumi (10) ambayo ni  barabara, shule sekondari, msingi awali na vituo vya afya katika wilaya ya Ilala. Mwenyekiti wa Uwt Cde Mwajabu Mbwambo naye alishiriki katika ziara hiyo. PONGEZI kwa serikali ya awamu ya sita ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan. Kwa kutoa fedha za kutosha kwa ajili ya kusogeza hudumu za kijamii kwa wananchi wa ilala


Kidumu chama cha mapinduzi

CCM oyeeeeh

Mitano tena Dr samia🖐🏿























No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages