Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ikisema Rais amefanya uamuzi huo juzi, Novemba 7, 2023.Bodi ya TCRA iliyovunjwa na Rais👇
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇