Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe.
Abiy Ahmed, kando ya Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi
za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇