Matukio mbalimbali katika picha kutoka Muleba mkoani Kagera ambapo Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC) - Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda anasalimiana na mamia ya wanachama, wakereketwa, wapenzi, wafuasi na mashabiki wa CCM pamoja na wananchi waliosimamisha msafara wake wakati akiwa njiani kuelekea wilayani Chato leo tarehe 10 Novemba 2023.
@ccmtanzania
#CCMImara
#TunaImaniNaSamia
# KaziIendelee




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇