LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 19, 2023

DKT RWEIKIZA: KAMILISHENI KWA WAKATI MIRADI YA MAJI BUKOBA VIJIJINI




 Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt, Jasson Rweikiza ameitaka serikali kukamilisha haraka ujenzi wa miradi ya maji  katika Kata 6 na Kemondo Bukoba Vijijini.

Rweikiza ameihoji serikali bungeni Dodoma Novemba Mosi, 2023 kwamba ni lini itakamilisha ujenzi wa miradi ya maji katika jimbo hilo.


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages