LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 31, 2023

RAIS WA UJERUMANI ATEMBELEA KIWANDA CHA SARUJI CHA TWIGA CEMENT, TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Dk. Frank-Walter Steinmeier ambaye hupo katika ziara ya kikazi hapa nchini Tanzania, leo ametembelea Kiwanda cha Twiga Cement kilichopo Tegeta Jijini Dar es Salaam, ambacho kina ubia na Kampuni ya Ujerumani ya Scancem International.

Kiwanda hicho ambacho kilijengwa mwaka 1967 kinatarajia kuongeza uwekezaji kufikia Dola 500 za Kimarekani. 

Pichani, Rais huyo akikagua shughuli na maeneo mbalimbali katika kiwanda hicho.👇

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages