Chongolo ameiagiza Serikali kujenga haraka barabara ya lami inayokwenda katika Bandari hiyo iliyojengwa kwa gharama ya sh. Bil. 49.
Aidha amemtaka Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa sherehe za kuingia mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo zifanyike eneo la bandari hiyo ili wananchi wa eneo hilo nao washuhudie.
Bandari hiyo itakuwa inahudumia pia Shehena za mizigo za nchi jirani za DRC Congo, Burundi na Zambia..
Chongolo akisalimiana na mmoja wa abiria katika Bandari ya Karema
Akikagua eneo la bandari hiyo
Mbunge wa Mpanda Vijijini, Selemani Kakoso akielezea umuhimu wa ujenzi wa barabara ya lami ya kwenda kwenye bandari hiyo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA










No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇