LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 2, 2023

CHONGOLO ALAKIWA KWA SHANGWE KATAVI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mpanda  leo Oktoba 2, 2023, tayari kuanza ziara ya siku tano mkoani Katavi. Akiwa mkoani humo atafanyakazi ya  kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi pamoja na kukagua miradi ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM.

Chongolo akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi, Juma Kimanta

Akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko

Vikundi vya ngoma vikitoa burudani wakati wa mapokezi hayo

Chongolo akisalimiana na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM pamoja viongozi wa serikali

Akivishwa skafu na vijana wa CCM alipowasili Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Katavi

Akiangalia ngoma

Baadhi ya wanahabari wakiwajibika

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages