LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 8, 2023

CHONGOLO AKARIBISHWA KICHIFU ALIPOWASILI NKASI, RUKWA

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Daniel Chongolo akikaribishwa na wazee wa kimila wa Kabila la Wafipa na kufanyiwa tambiko aliwasili katika eneo la Palamawe Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa Oktoba 8, 2023 tayari kuanza ziara ya siku nne ya kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kukagua Ilani ya CCM ya mwaka 2020/2023.Chongolo ametokea katika ziara ya siku 7 ya Mkoa wa Katavi. Anayemvisha golole la ni Chifu wa kabila hilo Malema Mtuka Sinyangwe.












 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages