Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Daraja la Msadya yenye urefu wa mita 60 katika Halmashauri ya Wilaya Mpimbwe, Mlele mkoani Katavi wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi pamoja na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM Oktoba 4, 2023. Daraja hili linajengwa kwa gharama ya sh. Bil. 4.8 zinazotokana na tozo za mafuta ya petroli na dizeli.
Sehemu ya daraja hilo
IMeandaliwa na RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇