LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 12, 2023

SERIKALI YAAHIDI MBELE YA GENZABUKE KUONGEZA KASI KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA MALAGARASI-UVINZA

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke ameihoji serikali bungeni Dodoma  kwamba ni lini kipande cha barabara cha Km 51 kilichobaki kutoka Malagalasi hadi Uvinza ujenzi wake utakamilika?


Amejibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya kuwa kwa vile mkandarasi yupo saiti watamwagiza aongeze kasi kukamilisha kipande hicho.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akiibana serikali...




IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages