LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 2, 2023

SALAMU ZA MWEZI MPYA KUTOKA BLOG YA TAIFA YA CCM


Msimamizi Mkuu na Mhariri Mkuu wa Blog ya Taifa ya CCM (Official CCM Blog) Ndugu Bashir Nkoromo kwa niaba ya timu yake yote, anawatakia mwanzo mzuri wa Mwezi Septemba 2023, uwe wenye baraka mafanikio na nguvu tele za kumuunga mkono na kumuombea mema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan na Wasaidizi wake wote. Kidumu Chama Cha Mapinduzi, Kazi Iendelee

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages