LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 1, 2023

KOMREDI CHONGOLO AKILONGA NA VIONGOZI TAMASHA LA KIZIMKAZI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza  na viongozi  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson,2023 pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibari Mhe. Zubeir Ali Maulidi wakati wa kilele cha tamasha la Kizimkazi lililofanyika Agosti 31,2023 Paje,Zanzibar ambapo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages