LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 6, 2023

RAIS DK. SAMIA KATIKA MKUTANO WA 23 WA MABADILIKO YA TABIANCHI AFRIKA, JIJINI NAIROBI, KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Ban Ki-Moon kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakizungumza na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Angola Mhe. Esperanca Maria Eduardo da Costa mara baada ya mazungumzo kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) AkinwumiAdesina kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages