LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 4, 2023

PROF. NDAKIDEMI AWASILISHA MEZANI TAARIFA YA KAMATI YA MKATABA WA MALALAMIKO YA MAUZIANO YA MATREKTA YA URSUS+video



 Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi akiwasilisha mezani bungeni Septemba 4,2023, taarifa ya Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kuhusu changamoto na malalamiko yaliyojitokeza katika kutekeleza mkataba wa mauziano ya matrekta ya URSUS kati ya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) na wakulima kwa utaratibu wa mikopo.


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 

0754264203


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages