LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 4, 2023

MWANYIKA AITAKA SERIKALI KUONGEZA BAJETI ZA UJENZI WA BARABARA NJOMBE MJINI+video


Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika  ameitaka serikali kutoa kauli ya kuongeza bajeti ya ujenzi wa barabara kwa majimbo ya mjini ikiwemo Njombe Mjini ambayo pia yana maeneo ya vijijini.

Ameyasema hayo bungeni Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu Septemba 4,2023.





No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages