LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 31, 2023

NMB YALITENDEA HAKI BUNGE BONANZA KWA SH. MIL. 130

Benki ya NMB imedhamini Bunge Bonanza kwa thamani ya sh. mil. 130, litakalofanyika kesho Septemba 2, 2023, kwenye viwanja vya Shule ya John Merlin, Miyuji jijini Dodoma.

Akizungumza na vyombo vya habari Mwenyekiti wa Bunge
Bonanza, Festo Sanga amesema kuwa Mgeni rasmi katika bonanza hilo litakaloshindanisha wabunge na watumishi wa bunge katika michezo mbalimbali, atakuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages