Ofisa Uhusiano Ofisi ya Msajili wa Hazina, akizungumza kuongoza kikao, mwanzoni mwa Mkutano wa Mfuko wa NSSFna Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar
es Salaam, leo, Septemba 25, 2023.Mwza Kuu wakishiriki maombi ya baraka mwanzoni mwa Mkutano wa Mfuko wa NSSFna Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar
es Salaam, leo, Septemba 25, 2023.Mkurugenzi
Mkuu wa NSSF Masha Mshomba, ajibu maswali ya katika Mkutano wa Mfuko huo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika

es Salaam, leo, Septemba 25, 2023.
Baadhi ya Viongozi wa NSSF wakiwa na baadhi ya washiriki katika mkutano huo.Baadhi ya Washiriki wakiwa makini kwenye mkutano huo.
Baadhi ya Washiriki wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiwa na baadhi ya washiriki katika mkutano huo.
Baadhi ya Washiriki wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya Washiriki wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Masha Msomba akiteta jambo kwa furaha na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Mawasiliano na Uhusiano katika Ofisi ya Msajili wa Hazina Eric Mkuti (kushoto) wakati wa mkutano huo. Mkuu wa Kitengo cha Habari, Mawasiliano na Uhusiano katika Ofisi ya Msajili wa Hazina Eric Mkuti akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahiri Deodatus Balile wakati wa mkutano huo.
Wafanyakazi wa Kitengo cha Mawasiliano na elimu kwa Umma wa NSSF Sebera Fulgence na Lulu Mengele wakishauriana jambo kufanikisha mkutano huo.
Lulu Mengele wa Kitengo cha Mawasiliano na elimu kwa Umma kutoka NSSF akizungumza kwenye Mkutano huo.
Mmoja wa Washiriki akiuliza swali katika mkutano huo.
Mmoja wa washiriki akiuliza swali katika mkutano huo.
Mkurugenzi
Mkuu wa NSSF Masha Mshomba, akisikiliza kwa makini maswali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya washiriki katika Mkutano wa Mfuko huo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar
es Salaam, leo, Septemba 25, 2023.Mkurugenzi
Mkuu wa NSSF Masha Mshomba, ajibu maswali ya katika Mkutano wa Mfuko huo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar
es Salaam, leo, Septemba 25, 2023.Mwenyekiti wa Jukwaa la wahaririri Deodatus Balile, akitoa neno la shukurani ukingoni mwa mkutano huo, uliofanyika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar
es Salaam, leo, Septemba 25, 2023. Mkurugenzi
Mkuu wa NSSF Masha Mshomba, akiteta jambo na Manyerere Jacton mwishoni mwa mkutano wa Mfuko huo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar
es Salaam, leo, Septemba 25, 2023.
Your Ad Spot
Sep 26, 2023
Home
featured
habari picha
MKUTANO WA UONGOZI WA NSSF NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI, ULIOFANYIKA LEO SEPTEMBA 25, 2023, JIJINI DAR ES SALAAM

Tags
featured#
habari picha#
Share This
About Bashir Nkoromo
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇