Wanafunzi wakisoma baadhi ya vipengele vilivyomo katika kiambatanishi namba moja katika makubaliano ya mkataba wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Julai 30, 2023. Wanafunzi hao waliitwa jukwani na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando kufafanua baadhi ya vipengele vinavyoelezea maeneo ya uwekezaji katika bandari hiyo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇