Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati akifunga Mkutano wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025, uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam, leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mwenyekiti wa TCD Prof. Ibrahim Lipumba (kushoto) wakizindua mradi wa 'Kuimarisha mazungumzo ya vyama vingi vya Siasa na kukuza ushiriki wa Wanawake na Vijana katika michakato ya kisiasa na uchaguzi' wakati wa Ufungaji wa Mkutano wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025, uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam, leo. Waalikwa wakiwa kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇