LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 14, 2023

MTOTO MWENYE TALANTA ATAJA MAFANIKIO LUKUKI YA RAIS SAMIA+video


 Gozbert Bwere mtoto mwenye umri wa miaka 14 licha kuwa na kipaji cha uchezaji ngoma za asili ameonesha uwezo wake kwa kutaja mafanikio lukuki ya uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan huku pia akitaja uongozi imara wa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo wakati wa mkutano wa CCM wa kuelezea usahihi wa mkataba wa Bandari ya Dar es Salaam kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Julai 30, 2023. 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages