Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy
Chakwera wakati wakikagua timu ya Yanga katika uwanja wa Taifa wa
Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mwenyeji wake
Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakikagua Timu ya
Nyasa Big Bullets katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe
nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye
picha ya pamoja na Timu ya Yanga katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa
Malawi yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi
tarehe 6 Julai, 2023.
Your Ad Spot
Jul 7, 2023
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇