Mkutano huo wa mikoa ya Kanda ya Kusini ya Lindi, Ruvuma na Mtwara unaendelea kwenye Uwanja wa Nangwanda Mjini, Mtwara.
Mkutano kama huo imefanyika Jana Julai 15, 2023 jijini Mbeya uliohusisha pia baadhi ya wananchi kutoka mikoa mingine ya Iringa, Njombe, Songwe na Rukwa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwezeshaji, Prof. Kitilya Mkumbo akifafanua jambo kuhusu faida zitakazotokana na uwekezaji wa Bandari.
Baadhi ya wananchi na wanachama wakiwa kwenye mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM Komredi Chongolo (katikati? akisikiliza kwa makini wakati baadhi ya viongozi wengine wa chama na Serikali wakielezea umuhimu wa uwekezaji wa Bandari.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇