Mbunge wa Jimbo la Lupa (Chunya) Mhe. Masache Njelu Kasaka akiwa katika mkutano na wazee wa Mji wa Chunya mjini akiambatana na Mwenyekiti wa Baraza la wazee Mzee Ilomo, Katibu wa CCM Wilaya ya Chunya, Komredi Charles Jokel pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tamimu Kambona.
Lengo la mkutano huo ni kuwapa mrejesho wa utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi 2020-2025 pamoja na kuchukua changamoto zinazowakabili wazee, Jamii na wilaya ya Chunya.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇