Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sophia Mjema akizungumza na vyombo vya habari katika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dodoma Julai 9, 2023, kwamba Halmashauri Kuu ya chama hicho imekubali na kujadili kwa kina taarifa ya makubaliano ya uwekezaji na uendeshaji wa bandari kwa manufaa kwa uchumi wa nchi.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇