Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora.
Mhadhama Rugambwa anakua Kadinali wa tatu katika historia ya Kanisa Katoliki Tanzania. Kadinali wa kwanza alikua Mhadhama Kadinali Laurian Rugambwa kuanzia mwaka hadi alipofariki dunia mnano Desemba 8, 1997 akiwa na umri wa miaka 85 alihudumu akiwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuula Dar es salaam Kuanzia mwaka 1968 hadi
Baba Mtakatifu Paulo XXIII Alimteua Hayati Laurian Kardinali Rugambwa Kwa Kumpa Adhama ya Ukardinali na Kumsimika Rasmi 28/03/1960 hadi alipofariki Dunia mwaka 08/12/1997
Mtakatifu Yohane Paulo II akamteuwa Askofu Mwandamizi Polycarp Pengo, kuwa Kardinali na kumsimika rasmi tarehe 21 Februari 1999. Tanzania ikaweka historia ya kupata Kardinali mpya miezi michache tu baada ya kufariki dunia, Kardinali Laurian Rugambwa. Tarehe 2 Septemba 1990 wakati Mtakatifu Yohane Paulo II alipotembelea Tanzania, Kardinali Polycarp Pengo, aliyekuwa Askofu mkuu mwandamizi,
Hongera sana Mhashamu Rugambwa.
Taarifa toka Vatican
Sister Angela Rwekiza
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇