Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika amezidi kuibana serikali ili iwajengee miundombinu ya uwamwagiliaji wakulima wadogo wadogo wa zao chai jimboni humo.
Mwanyika amefanya hivyo alipouliza swali kwa wizara ya Kilimo katika kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni Mosi, 2023 na hatimaye kujibiwa na Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde kuwa watatumwa watalaamu kwenda kutathimini ili kuweka miundombinu hiyo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇