LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 26, 2023

MGALU ACHANGIA MAKUBWA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA 2023+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amechangia vyema mjadala wa mabadiliko ya muswada wa sheria ya fedha 2023 ambapo ameipongeza Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza na kuondoa baadhi ya tozo hivyo kupunguza makali ya maisha ya wananchi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mgalu pamoja na mambo mengine akitoa pongezi hizo.....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages