Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Mchemba akielezea maendeleo makubwa yaliyopatikana wakati wa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa kuhitimisha mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali na kusema Rais anapaswa kupewa 'maua yake'. kwa mafanikio hayo. Asilimia 95 ya wabunge wamepitisha bajeti hiyo kwa kupiga kura ya ndiyo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video... Mchemba akielezea mafanikio hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇