Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo leo tarehe 9, Juni 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Balozi Chen Mingjian, Ofisini kwa Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Jun 9, 2023
KOMREDI CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI
Tags
featured#
habari picha#
Share This

About Author CCM Blog
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇