Chongolo ameamua kuita jopo la viongozi wa chama na serikali wakiwemo mawaziri kukaa na kujadili namna ya kunususuru hali hiyo. Zinatakiwa zaidi ya bilioni 1.9 kukamilisha kila kitu ili machinjio hayo yafanye kazi kwa ufanisi.
Ameyasema hayo baada ua kukagua machinjio hayo wakati wa ziara yake ya kikazi Juni Mosi 2023.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇