Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyeyeye, kwa Mama Maria Nyerere, wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Mei, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi
Tuzo ya Hayati Rais wa Awamu ya tano Dkt. John Magufuli kwa Mama
Janeth Magufuli wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Ikulu ya
Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Mei, 2023.
Rais Samia akizungumza jambo na Mama Maria Nyerere Mjane wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania, Hayati Julius Nyerere baada ya kumkabidhi tuzo kwa niaba.

Rais Samia akikumbatiana kwa furaha na Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli baada ya kumkabidhi tuzo kwa niaba.


















No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇