LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 20, 2023

CHONGOLO ATETA NA SPIKA WASTAAFU WAKATI WA UZINDUZI WA IKULU MPYA CHAMWINO

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo akizungumza na Spika mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda wakati wa sherehe za uzinduzi wa Ikulu mpya Chamwino , Dodoma Mei 20, 2023.

 Chongolo akiteta jambo na Spika mstaafu, Job Ndugai.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages