Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akisaini kitabu cha Maombolezo alipofika kumpa pole Waziri
Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela, mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma,
jana Mei 22, 2023, kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William
Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akimpa pole Waziri
Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela, mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma,
jana Mei 22, 2023, alipofika kumfariji kufuatia kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William
Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni. Kushoto ni Mama Malecela.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akimpa pole Waziri
Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela, mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma,
jana Mei 22, 2023, alipofika kumfariji kufuatia kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William
Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni. Kulia ni Mama Malecela.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇