LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 15, 2023

PROF NDAKIDEMI: CHONDE CHONDE WENYE UHITAJI WA VIUNGO BANDIA WAHUDUMIWA NA SERIKALI+video


 Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameiomba serikali kuwahudumia wagonjwa masikini wenye uhitaji wa viungo bandia.

Aidha ameomba Hosptali ya Kanda ya KCMC iongezewe madaktari na wahudumu wa sekta ya afya kwani hivi sasa kuna upungufu mkubwa wahudumu hao. Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma Mei 15, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Ndakidemi akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages