LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2023

NAPE AWASILISHA BAJETI YENYE MAONO MAKUBWA+video

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasilisha kiufasaha tena kwa muda mfupi makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2023/2024 bungeni Dodoma Mei 19, 2023, kiasi cha kusifiwa na Naibu Spika, Musa Zungu.

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Nap Nnauye akiwasilisha taarifa hiyo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages