LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 6, 2023

MBUNGE NDAKIDEMI AIBANANISHA SERIKALI KUULINDA MLIMA KILIMANJARO+video





Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameihoji serikali ina mpango gani wa kuishirikisha jamii katika uhifadhi wa mazingira kuzunguka Mlima Kilimanjaro)

Amehoji hilo nA mambo mengine wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 5, 2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Ndakidemi akipambania jambo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages