LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 22, 2023

KIKAOCHA NEC YA CCM CHAFANYIKA LEO MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo tarehe 22, Mei 2023

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages