LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 2, 2023

GENZABUKE AZIDI KUPAMBANIA UJENZI WA BARABARA YA UVINZA-MALAGALASI+video

Mbunge wa Viti Maalumu, Josephine Genzabuke amehoji ni lini  ujenzi wa barabara ya  Uvinza= Malagalasi mkoani Kigoma uatamalizika?


Amehoji hilo bungeni Dodoma Mei 2, 2023 wakati wa kipindi cha maswali na majibu.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akihoji jambo hilo...



 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 

MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages