LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 2, 2023

DKT BITEKO AZINDUA KIGODA CHA WAZAZI KWAMTORO, CHEMBA+video


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Jumuiya ya Wazazi, Waziri wa Madini, Dkt. Dotto Biteko akipandisha bendera ya CCM ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa  Kigoda za Wazazi mjini Kwamtoro, Chemba mkoani Dodoma Aprili 29, 2023, ikiwa ni  sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Mkoa wa Dodoma sambamba na miaka 68 ya jumuiya hiyo kitaifa. Kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya mkoa huo, Samwel Malecela.
Katibu wa kikundi cha mshikamano cha Kwamtoro, Aziza Mkwiva akisoma risala wakati wa uzinduzi wa Kigoda cha Wazazi.

Dkt. Biteko akisoma maadishi ya tawi hilo.



Dkt. Biteko akizawadiwa asali
Dkt Biteko akihutubia baada ya kuzindua kigoda hicho.
Dkt. Biteko akimkabidhi Katibu wa Jumuiya hiyo wilaya ya Chemba, Jamila Makwanga sh. mil. 1 kwa ajili ya kikundi hicho cha mshikamano.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dodoma, Watende Amri akishangilia pamoja na baadhi ya wanaccm wakati wa uzinduzi wa kigoda hicho.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/ kuangalia kupitia clip hii ya video, Dkt  Biteko akizindua kigoda hicho...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 

MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages