LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 2, 2023

SIMBA SC WAKABIDHIWA MAMILIONI YA RAIS SAMIA


MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo amewakabidhi Simba SC kitita cha Milioni 5, zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufunga bao moja katika kipigo cha 3-1 cha Raja Casablanca kwenye mechi ya mwisho ya Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa kuamkia jana Jijini Casablanca nchini Morocco.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekuwa akitoa zawadi y Sh. Milioni 5 kwa kila bao linalofungwa kwenye Hatua ya makundi ya michuano ya Afrika.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages