Mbunge wa Lupa, Chunya, Masache Kasaka leo bungeni ameibana serikali kwamba itenge fedha za ujenzi wa barabara ya kutoka Chunya Mjini hadi Sangambi kwa kiwango cha changarawe.
Akijibu kwa niaba ya serikali, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawla za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deo Ndejembi amesema katika bajeti ya mwaka huu watatenga sehemu ya fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇