Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt. Alice Kaijage ameihoji serikali bungeni Aprili 28, 2023 kwamba haioni haja ya kuupitia tena muundo wa utumishi wa madaktari bingwa wa mwaka 2022?
Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu kupitia Wizara ya Afya.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇