LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 10, 2023

RC MAKALA NA DC MPOGOLO KATIKA UZINDUZI WA UPANDAJI MITI KIMKOA WA DAR ES SALAAM, JUZI

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amoss Makala na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo wakipewa miche ya miti katika Uzinduzi wa upandaji miti kimkoa uliofa.yika Shule ya Sekondari Tarimo, Bunju, juzi.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amoss Makala na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo wakienda eneo la kupanda miche ya miti, katika Uzinduzi wa upandaji miti kimkoa uliofa.yika Shule ya Sekondari Tarimo, Bunju, juzi.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amoss Makala akipanda mche wa mti katika Uzinduzi wa upandaji miti kimkoa uliofanyika Shule ya Sekondari Tarimo, Bunju, juzi. Aliyesimama nyuma yake akishuhudia ni DC Ilala Edward Mpogolo.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo wakipanda miche ya miti, katika Uzinduzi wa upandaji miti kimkoa uliofa.yika Shule ya Sekondari Tarimo, Bunju, juzi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages