LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 16, 2023

RAIS SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam , jana tarehe 15 Aprili. 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar wakati wa Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam jana tarehe 15 Aprili. 2023.

PICHA VIONGOZI NA WAALIKWA WAKIWA KWENYE HAFLA HIYO.👇















 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages