LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 5, 2023

NDAKIDEMI: JENGENI MIUNDOMBINU KURAHISISHA WATALII KUFIKA KUONA MTI MREFU KULIKO YOTE AFRIKA+video


Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameiomba serikali bungeni Dodoma Aprili 5, 2023, kuona umuhimu wa kujenga miundombinu ya barabara kurahisisha watalii kufika kuona mti mrefu kulio yote Afrika.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video.Prof. Ndakidemi pamoja na mambo mengine ameiomba serikali kujenga barabara kwenda kwenye mti huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages