LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 7, 2023

MBUNGE TOUFIQ AWASILISHA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU+video


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Fatma Toufiq akiwasilisha bungeni Dodoma Aprili 5, 2023 kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) kwa mwaka wa Fedha 2023/2024.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Toufiq akiwasilisha taarifa hiyo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages