LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 6, 2023

MBUNGE JANE JERRY: KUENDEKEZA AJIRA KWA WAGENI BADALA YA WAZAWA SERIKALI INATENGENEZA BOMU+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, Jane Jerry amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali watumishi nchini,.

Aidha ameitaka serikali kuandaa viambatanisho na vielelezo kurahisha ulipaji wa fidia watumishi mbalimbali walioathirika kwa namna moja ama nyingine wakiwemo watumishi 541 wa vyeti feki waliosimamishwa kazi katika serikali ya Awamu ya Tano. Aidha ametoa tahadhari tabia ya serikali kuruhusu wageni wengi kupata ajira nchini badala ya wazawa na kwamba kitendo hicho ni swa na kuandaa bomu kwani vijana wengi hawana ajira.

Mbunge huyo ametoa mchango wake huo wakati wa mjada wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma Aprili 6, 2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Jane Jerry akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages